Home » Coca-Cola Kwanza Limited Vacancy, February 2023

Coca-Cola Kwanza Limited Vacancy, February 2023

by admin
13 comments

 

Coca-Cola Kwanza Limited is a subsidiary of Coca-Cola Beverages Africa (CCBA). CCBA is the largest African Coca Cola bottler, accounting for 40% of all Coca-Cola volumes on the continent. CCBA is a market leader in the NARTD (Non-Alcoholic Ready to Drink Market) in Africa. Coca Cola Kwanza has an extensive footprint in Tanzania employing over 700 employees. Kwanza holds commanding annual sales of over 30,000,000-Unit Cases, with a market share of over 55% and a turnover of 190 Billion Tanzanian shillings as of 2018. Coca-Cola operations covers 54% of Tanzania land mass (Geographical Coverage). We’re focussed on accelerating growth and social development in our value chain. Coca-Cola Beverages Africa (CCBA) is the  eighth largest Coca-Cola bottling partner worldwide and the biggest on the African continent. We serve 14 countries in sub-Saharan Africa including South Africa, Eswatini, Ghana, Kenya, Ethiopia, Mozambique, Tanzania, Uganda, Namibia, Mayotte, Comoros, Botswana, Zambia and Lesotho. We boast a diverse pan-African footprint with more than 36 bottling plants serving over 600,000 outlets across the continent. CCBA is an equal opportunity employer.

NEW VACANCY AT COCA-COLA KWANZA LIMITED, FEBRUARY 2023

The coca cola company is looking to hire individuals to fill new vacant positions. READ FULL DETAILS THROUGH THE PDF DOCUMENT ATTACHED BELOW:

DOWNLOAD THE PDF DOCUMENT HERE

Related Posts

13 comments

MUSSA NICHORAUS MWAKAKOBE February 15, 2023 - 11:00 pm

Naitwa Mussa Nichoraus naomba kazi yoyote ile katika kampuni hii pia kwa mawasiliano zaidi +255685578177 asante natumaini ombi langu limepokelewa

Reply
hu**********@gm***.com" class="url" rel="ugc external nofollow">Hussen February 16, 2023 - 1:29 am

Naitwa hussen shehan ninaomba kazi kwenye kampuni yenu ya aina yoyote ile mawesiliana zaidi 0654350226 natumaini ombilangu litakubaliwa

Reply
Ally Salum February 16, 2023 - 7:39 am

Kwa Jina ALLY SALUM ALLY Ni kijana mwenye akili timamu elimu form4 ninaomba kazi kwenye kampuni yenu kwa mawasiliano 0658159783
Ahsante,,, natumai ombi langu yanashughulikiwa

Reply
Rehema hamis stambuli February 22, 2023 - 4:43 am

Naitwa Rehema stambuli naomba nafasi ya kazi elimu yangu kidato cha nne position Yoyote kulingana Na elimu yangu itanifaa 0716935202 Kwa mawasiliano

Reply
Sadam February 16, 2023 - 10:32 am

Kwa jina Sadam Adam Hussein ni kijana mwenye akili timamu mwenye elimu ya kidato cha sita ninaomba kazi kwenye kampuni yenu kwa mawasiliano 0719532311 ,, ahsante natumaini ombi langu litashughulikiwa .

Reply
NYANGI MANYAMA JOHN February 16, 2023 - 11:08 am

hongereni kwa kazi nzuri Naombeni kazi katika kampuni lenu nina certificate of banking and finance kwa mawasiliano 0621061289

Reply
GLORY MMBANDO February 17, 2023 - 10:25 am

Nina diploma ya account ninaomba kazi kwenye kampuni yenu

Reply
Ally Kassim Amiri February 17, 2023 - 10:02 pm

Thanks for advertisiment for Job but my self I have a diploma of procurement and logistics management please due to this I’m asking a job from your company at any kind jobs description plz once again find me a chance

Reply
Dickson kassim msumari February 18, 2023 - 5:02 am

Majina yangu ni Dickson kassim Msumari. Levo ya Elimu ni kidato cha nne. Naomba kazi katika kampuni yenu.ninauwezo mkubwa sana wa kufanya kazi za aina yoyote, nina Akili timamu, nina Afya njema, lakini pia nina hofu ya Mungu. Asanteni

Reply
Dickson kassim msumari February 18, 2023 - 5:09 am

Majina yangu ni Dickson kassim Msumari. Levo ya Elimu ni kidato cha nne. Naomba kazi katika kampuni yenu.ninauwezo mkubwa sana wa kufanya kazi za aina yoyote, nina Akili timamu, nina Afya njema, lakini pia nina hofu ya Mungu. Asanteni. Namba zangu za simu ni 0694853454 au 0745971669

Reply
Neema February 18, 2023 - 3:41 pm

Kwa majina naitwa neema William,ninaishi mkoa wa dar es salaam ninaandika maombi haya kwenye kampuni hii kwa lengo la kuomba kazi. Umri wangu ni miaka 22, sina kilema wala ugonjwa wowote zaidi sana ni muwajibikaji na making katika mambo yangu. Asante kwa muda wako kusoma hii kwa mawasiliano zaida
0743576468

Reply
Ezekiel elias muna February 22, 2023 - 6:05 pm

Help me to get any kind of job in this company

Reply
Mohammed Omary February 27, 2023 - 11:27 am

Kwa majina naitwa Mohammed Omary ni kijana wa kitanzania Nina umri wa miaka 23 na Nina elimu ya kidato Cha nne nina uwezo wa kutumia lugha 2 kiswahili na kingereza ombi langu kwenu ni kuomba ajira na kutimiza adhma ya nchi ya Tanzania ya viwanda Kwan sisi ndio nguv Kaz na mustakabar wa taifa leti
Poleni kwa majukumu na polen kwa muda wenu wa kusoma comment ama maombi yang
Naimani ntapokea majibu sahihi na maziri zaid
Mawasiliano zaid 0629391839 au 0688437870

Reply

Leave a Comment

AJIRA MPYA TANZANIA , NAFASI ZA KAZI TANZANIA , JOBS IN TANZANIA, VACANCIES IN TANZANIA, SCHOLARSHIPS, INTERVIEWS, EDUCATION NEWS