Tigo Tanzania is the leading innovative telecommunication company in the country, distinguished as a fully-fledged digital lifestyle brand. Offering a diverse product portfolio in voice, SMS, high-speed internet and mobile financial services, Tigo has pioneered innovations such as Facebook in Kiswahili, TigoPesa App & iOS users, Tigo Music (Deezer) and East Africa’s first cross-border mobile money transfer with currency conversion. The Tigo 3G networks guarantees the best services to its subscriber’s in all regions across the country. In 2015 Tigo launched 4G LTE network in Dar es Salaam and selected regions with plans to become available all over the country in 2017. In the past three years the company has launched over 500 network sites bring to over 2000 the total of its network sites. It plans to double its investment by 2017 in terms of coverage and additional capacity networks for deeper penetration in rural areas. With over 10 million registered subscribers, Tigo directly and indirectly employs over 300,000 Tanzanians including an extended network of customer service representatives, mobile money merchants, sales agents and distributors. Tigo started its operations in Tanzania in 1994.
NEW VACANCIES AT TIGO TANZANIA, AUGUST 2022
The company is looking to hire individuals to fill new vacant positions. Read full details from the PDF Document attached here below:
22 comments
Tigo ni kampuni bora tanzania,naomba ajira meneja mwajiri katika kitengo chochote kile utachoridhia wewe bosi. Ubarikiwe sana
Tigo ni kampuni iliyo bora Tanzania na mtandao wake ni wa kasi, naomba ajira ya mapokezi meneja mwajiri
Tigo ni kampuni bora na inakasi zaidi Tanzania nzima….naomba ajira katika kampuni yenu katika kitengo cha mapokezi. Ahsante
Tigo ni kampuni bora na inakasi zaidi tanzania…naomba ajira katika kampuni yenu katika kitengo cha udereva ahsante
Hi,Am looking a job at Tigo company at call center because I have an experience enough
Habari, naomba kazi kwenye kampuni yako katika kitengo cha mapokezi
Naombeni kazi katika kitengo chochote nimeishia 4m4 nimekosa ada
Tigo kampuni kubwa Tanzania hata nje ya Tanzania, naomba kazi katika kampuni yenu,
kitengo Cha IT, ntafanya kazi kwa uaminifu mkubwa kwa kutimiza malengo ya kampuni, Elimu chuo Kikuu.
Naomba nafasi ya kazi yoyote kwenye kampuni yako naipenda sana tigo elimu ninacheti cha Hr
Naipenda sana tigo naomba kibali kwenye kampuni hii nitafanya kazi kwa moyo wote namba yangu 0766799289.
Tigo ni kampuni bora sana
Naomba kazi katika kitengo
Chochote
0655936100
Naipenda sana kampuni ya tigo kwahiyo nipo tayari kufanya kazi hata bila malipo kitengo chochote mtakachoona nafaa
0745543132
Tigo ni kampuni Bora jamani
I completed form six in 2021 rather not join the next level due to economic failure, applying for any job you think I can fit.
0744 937 027
Tigo ni mtandao wenye kasi zaidi naomba nafasi yoyote naahidi nitafanya kazikwa uaminifu na kwa bidii Nina elimu ya kidato Cha nne
Naombeni kazi Katika kitengo chochote ninauzoefu Sana na compuni yenu ya tigo
Togo ni kampuni nzuri Sana ,naomba kaz kitenge cha call center asanteni.
Tigo ni mtandao Bora Tanzania
Tigo love it, live it mtandao bora sana
Tigo ni mtandao bora tanzania katika huduma zao zote za kifedha kama lipa kwa tigo mitandao yote na matumizi yakawaida ya mtandao nahitaj kazi pia number 0629372178
Tigo ni kampuni Bora Tanzania,pia ni mtandao wenye Kasi na Bei rafiki Kwa wateja wake.
Naomba kazi katika kitengo Chochote,ni mhitimu wa kidato Cha nne mwaka2017
Naahidi kuitumikia Kwa moyo Mmoja 0715431019
Tigo tanzania mnatisha naomba kazi nimesomea IT software and hardware