Home » New Vacancy At Bakhresa Group, September 2024

New Vacancy At Bakhresa Group, September 2024

by admin
12 comments

The Bakhresa Group, founded by Mr Said Salim Awadh Bakhresa, started its operations in 1975 with Azam Restaurant and grew to expand across 15 distinct divisions over time. Throughout the years, primarily operating under the Azam brand, we have expanded our line of business and geographical scope. Using a vertical integration approach, our goal is to actively improve the value chain in the sectors in which we operate, allowing us to offer premium goods and services at affordable prices to consumers, clients, and business partners across the African continent. To increase and sustain the living standards of Africans by providing them with essential products and services of global quality, at affordable prices. To exceed customers’ expectations through innovation, while harnessing technology. To be one of most internationally respected and professionally-run companies on the African continent. To establish a globally recognised brand synonymous with high quality, innovation and value for price. Passion for success; We are determined to be the best at what we do. We are not content with the status quo. We have a compelling desire to innovate.

NEW VACANCY AT BAKHRESA GROUP, SEPTEMBER 2024

The company is inviting applications from suitable candidates to apply for a new vacant position. READ FULL DETAILS THROUGH THE PDF DOCUMENT BELOW:

DOWNLOAD THE PDF DOCUMENT HERE

Related Posts

12 comments

Othman September 14, 2024 - 4:56 am

Kwa jina naitw Othman Ibrahim dulle natarajia kumaliza chuo mwez 12 nilikuw naomb kazi kwenye kampun yenu me nimesomea chuo cha ufundi ufundí welder nilikuw naomb mkubar ombi lng ahsant tn

Reply
Isihaka kasim sabuli September 16, 2024 - 10:04 pm

Kwa majina naitwa isihaka kasim sabuli mm ni dereva nilikua naomba nafasi ya udereva katika kampuni yenu nimekamilika kwa kila kitu na ni .mzoefu wa barabaran kwa takriban miaka miwili.
Ahsanten

Reply
Saimon Hamis Omari October 31, 2024 - 2:04 am

Kwamajina yangu naitwa Saimon Hamis ni mkazi wa dar es salaam nina elimu ya kidacho cha nne na nimehitimu mwaka 2024. Naomba kazi ya kuwa msambazaji wa bidhaa za bakhresa Ltd. Nahaidi ya kuwa nitakuwa mwaminifu na mchapa kazi kwa kazi yoyote itakayo jitokeza mbele yangu. Natumaini maombi yangu yatakubaliwa wako mwaminifu katika kujenga maisha bora ya watanzania

Reply
IMU YUSUPH November 24, 2024 - 1:07 am

Naomba kazi ya udereva ,ninauzoefu wa kutosha na nimepita katika chuo Cha taifa Cha usafirishaji (NIT) Kwa ya HGV na VIP .

Reply
rahabu Samwel December 15, 2024 - 5:22 am

KUOMBA NAFASI ZA KAZI KATIKA KAMPUNI YENU
Husika na kichwa Cha habari hapo juu naitwa rahabu samwel mwenye umri wa miaka24 nmehitimu elimu yangu mpka kidato Cha nne natokea mbeya nauhitaji na kazi katika kampuni yenu naaidi kua mtiifu na mweny ushirikiano katika kazi na kwa wafanyakaz wenzangu natumain ombi langu litapokelewa kwako mtiifu rahabu samwel asante

Reply
M.J Abdulshakuur December 17, 2024 - 4:22 am

Mim Kijana Wa Miaka (27) Naomba Kaz katika Kampuni Yenu Elim Yangu ya Chuo Kikuu,Naweza Kufanya Kaz katika Vitengo Kam Usimamizi,kutunza Kumbukumbu,na nyingine nying

Reply
Shabani Daudi December 18, 2024 - 10:37 pm

Kwa majina naitwa shabani daudi ayubu
Mi ni dereva wa canter naleseni nnacheti nnanida nimzoefu wa balabalan kwa muda wamiaka miwili toka nikate leseni ila gali nilianza kuendesha mudatu nna miaka 22 nilikua naomba kazi ya udereva kwenye kampuni yenu ya azam endapo itapatikan asante

Reply
Sd*******@gm***.com" class="url" rel="ugc external nofollow">Shabani Daudi December 18, 2024 - 10:40 pm

0652 9185 07
0621613784

Reply
Shabani Daudi December 18, 2024 - 10:43 pm

Kwa majina naitwa shabani daudi ayubu
Mi ni dereva wa canter naleseni nnacheti nnanida nimzoefu wa balabalan kwa muda wamiaka miwili toka nikate leseni ila gali nilianza kuendesha mudatu nna miaka 22 nilikua naomba kazi ya udereva kwenye kampuni yenu ya azam endapo itapatikan asante 0652 9185 07 tigo 0621613784 halotel

Reply
Siri December 21, 2024 - 6:45 am

Nilikuwa naomba nafasi ya kazi katika kampuni yenu endapo itatokea

Reply
Siri December 21, 2024 - 6:46 am

Nitafurahi sana endapo ombi langu litakubalika

Reply
Siri December 21, 2024 - 6:50 am

Kwa majina naitwa siri nicolas ni mkazi wa temeki,elimu yangu ni diploma ya rasilimali watu nilikuwa naomba kazi katika kampuni yenu nitafurahi sana endapo ombi langu litashughulikiwa

Reply

Leave a Comment

AJIRA MPYA TANZANIA , NAFASI ZA KAZI TANZANIA , JOBS IN TANZANIA, VACANCIES IN TANZANIA, SCHOLARSHIPS, INTERVIEWS, EDUCATION NEWS